- 1,674 viewsDuration: 1:32Fundi wa magari Edwin Visiahwa kutoka eneo la Ruaraka kaunti ya Nairobi amekuwa mshindi wa kwanza wa Shabiki Sky Captain baada ya kujishindia shilingi milioni moja kwenye shindano hilo. Edwin akisema atatumia pesa hizo kuwalipia wanawe karo kabla ya kutimiza ndoto yake ya kufungua karakana yake ya kutengeneza magari. Shindano la Shabiki Sky Captain linatoa nafasi ya kushinda milioni moja kila wiki huku washindi wa kila siku wakijishindia shilingi elfu 50.