Skip to main content
Skip to main content

Futari ya halaiki Zanzibar

  • | BBC Swahili
    11,954 views
    Duration: 1:15
    Mwishoni mwa juma Kamisheni ya utalii visiwani Zanzibar iliandaa futari ya pamoja kwa watu 27, 345 kwa wakati mmoja. Tukio hilo la kihistoria limeifanya Zanzibar kuweka rekodi kwani, Rekodi ya sasa inashikiliwa na Beirut mji mkuu wa Lebanon ambapo watu 5,800 walikusanyika pamoja kupata futari wakati wa mwezi mtukufu mwaka 2025. Pamoja na kuvunja rekodi hiyo Zanzibar inawekeza vilivyo kwenye Utalii wa Halal ambapo matukio ya kidini yanatumika kuvutia watalii kutoka nje na ndani ya nchi. Zanzibar imezewelkewa kwa utalii wa fukse na sasa wameamua kufungua søko hilo jipya, Eagan Salla @eagansalla_gifted_sounds na taarifa zaidi: - - #bbcswahilii #zanzibar #ramadhan #dini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw