- 2,619 viewsDuration: 3:01Kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, amesema kuwa migogoro na tofauti zinazoshuhudiwa ndani ya upinzani ni mvutano wa kawaida miongoni mwa wanasiasa. Gachagua, akionekana kulegeza msimamo wake kuhusu baadhi ya vinara wa upinzani, amesema suluhu ya umoja itapatikana. Na kama Melita Oletenges anavyoripoti, Gachagua pia ameonekana kumwalika kinara wa KANU, Gideon Moi, kujiunga na upinzani.