Skip to main content
Skip to main content

Gachagua atetea ushindani ndani ya Muungano wa Upinzani

  • | Citizen TV
    3,208 views
    Duration: 2:33
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua ametetea ushindani ndani ya Muungano wa Upinzani, akisema kila chama kinafaa kuwa na uhuru wa kusimamisha wagombea kokote nchini. Akizungumza alipompokea Mbunge wa Kamukunji Yusuf Hassan aliyejiunga na DCP leo, Gachagua alisisitiza kuwa Muungano wa Upinzani utakuwa na mgombea mmoja atakayekabiliana na Rais William Ruto katika uchaguzi wa mwaka ujao.