Skip to main content
Skip to main content

Gachagua atilia shaka baadhi ya vyama vya upinzani, ataka umoja

  • | Citizen TV
    19,608 views
    Duration: 2:56
    Ubabe wa kisiasa ndani ya upinzani unaonekana kushamiri huku kinara wa DCP Rigathi Gachagua akilenga baadhi ya vyama vya upinzani anavyodai vinatumiwa na Rais William Ruto. Katika ziara yake ya kwanza ya kisiasa tangu kurejea kutoka Marekani, Gachagua amesema kuwa si vyama vyote vilivyo katika upinzani vinaaminika, huku akisisitiza umuhimu wa umoja wa upinzani.