Skip to main content
Skip to main content

Gachagua awakosoa viongozi wa upinzani kwa uzembe

  • | Citizen TV
    15,046 views
    Duration: 3:06
    Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amewakosoa baadhi ya viongozi wa upinzani anao sema ni wazembe katika jitihada zao za kuchagiza siasa za upinzani. Akiwarushia maneno makali wakosoaji wake ndani ya upinzani, Gachagua amemtaka kila kiongozi kufanya bidii kuimarisha ushawishi wa upinzani kwenye uchaguzi mkuu ujao. Melita Oletenges anaaarifu zaidi.