- 4,313 viewsDuration: 2:39Kinara wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, amesema muungano wa upinzani hauna haraka ya kumtangaza mgombea atakayepeperusha bendera ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Gachagua amesema viongozi wa upinzani hawatakubali kugawanywa na Rais William Ruto. Akizungumza nyumbani kwake Wamunyoro, Kaunti ya Nyeri, Gachagua pia aliwaonya wanaopanga kuzua vurugu katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ol Kalou.