4 Nov 2026 10:26 am | Citizen TV 483 views Duration: 1:58 Gavana wa Kaunti ya Turkana, Jeremiah Lomorukai, amewakashifu baadhi ya watu mashuhuri serikalini kwa kujihusisha na shughuli za uchimbaji wa dhahabu bila idhini ya serikali ya kaunti.