2 Sep 2026 10:12 am | Citizen TV 802 views Duration: 1:21 Gavana wa kakamega Fernandes Barasa amemkosoa kinara wa DCP Rigathi Gachagua kwa madai ya njama ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu ujao.