Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kisii Simba Arati amrai Fred Matiang'i ajiunge na serikali

  • | Citizen TV
    4,436 views
    Duration: 1:40
    Naibu Kiongozi wa chama cha ODM ambaye pia ni Gavana wa kaunti ya Kisii Simba Arati sasa anatoa wito kwa Kiongozi wa Chama cha Jubilee Dkt Fred Matiangi kugura muungano wa upinzani na kujiunga na serikali akisema kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amekuwa akimdhalilisha mbele ya umma.