Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti akashifu visa vya mauaji

  • | Citizen TV
    304 views
    Duration: 1:12
    Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti akashifu visa vya mauaji ambavyo vyakuwa vikiendelea bila ya wahusika kukamatwa. Wavinya avitaja visa kama vile miili iliyopatikana eneo la Kathiani, mingine Matungulu, na mtu mwingine akiuawa kwenye makutano ya chumvi kaunti ya Machakos