- 7,418 viewsDuration: 2:48Gavana wa Murang’a Irungu Kang’ata amejiunga na kikosi cha linda mwananchi akisema amechagua muungano huo kwa sababu ya sura yao ya kitaifa. Kang'ata aliyejiunga na mrengo huo wakati wa mkutano eneo la thika kaunti ya kiambu. Hata hivyo, mkutano huu kwa dakika chache ulivurugwa na kisha kuendelea.