- 1,316 viewsDuration: 2:03Aliyekuwa gavana wa Bungoma, Wycliffe Wangamati, pamoja na jamaa zake tisa na wakurugenzi wa kampuni kadhaa za ujenzi wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya ulaghai wa zabuni za zaidi ya shilingi milioni 271.