Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru ameishinikiza serikali ya kitaifa kuharakisha mchakato wa kufutilia mbali deni la shillingi bilioni 1.06 linalodaiwa na vyama vya ushirika vya kahawa, akionya kuwa mzigo huo unaendelea kudhoofisha wakulima na kuchelewesha ufufuaji wa sekta hiyo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya