- 8,375 viewsDuration: 2:41Utata kuhusu soko la Masinde Muliro mjini Kitale, Kaunti ya Trans Nzoia, umezidi kutokota baada ya Gavana George Natembeya kuwaagiza wafanyabiashara kuingia sokoni humo kufuatia agizo la mahakama. Hatua hiyo inajiri huku maafisa wa kikosi cha kukabiliana na ghasia cha GSU wakitumwa kuimarisha usalama na kufanya doria katika soko hilo. Collins Shitiabayi anatufahamisha zaidi.