- 1,663 viewsDuration: 1:07Mabingwa watetezi Gor Mahia wametoka sare ya bao 1-1 na timu ya Nairobi United kwenye mechi ya kusisimua ya Ligi Kuu huko Mwea. Kakamega Homeboyz na Police FC pia wametoka sare ya bao 2-2, sawa na Ulinzi Stars dhidi ya Murang’a Seal. Bandari hatimaye wamepata ushindi baada ya kuipiku Tusker FC kwa bao 1-0.