Skip to main content
Skip to main content

Hamasisho la amani Mbeere

  • | Citizen TV
    878 views
    Duration: 2:30
    Viongozi wa makanisa Eneo Mbunge la Mbeere North wameanzisha kampeni ya amani na mshikamano kwa lengo la kusitisha migawanyiko ya kisiasa iliyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mdogo wa hivi majuzi, huku eneo hilo likijiandaa kwa shughuli za kisiasa zinazotarajiwa kushika kasi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.