1 Sep 2025 7:46 pm | Citizen TV 585 views Duration: 52s Timu ya taifa ya kandanda harambee stars imerejea mazoezini kujiandaa kwa mechi mbili za kufuzu kwa kombe la dunia zitakazochezwa Ijumaa na Jumanne kwenye uwanja wa Kasarani.