Skip to main content
Skip to main content

Hasara ya ziwa Baringo

  • | Citizen TV
    3,636 views
    Duration: 6:08
    Mzozo wa kibinaadam umeendelea kushuhudiwa baringo kaskazini ambako maji yameendelea kujaa ziwa baringo na bogoria na kusomba majumba na hata shule. Hali hii sasa ikiwalazimu wakazi wanaoishi karibu na maziwa hayo kuhama makao yao. Aidha mashamba na shule kadhaa zimesombwa na masomo kushindwa kuendelea huku sasa wasiwasi zaidi ukiibuka kuhusu kushikana kwa maziwa hayo. Evans Asiba alikuwa baringo na kutuandalia makala maalum yafuatayo