Skip to main content
Skip to main content

Hisia zaibuka kufuatia madai ya Wetang’ula kwamba baadhi ya wabunge huuza barua za ajira za TSC

  • | NTV Video
    4,016 views
    Duration: 3:23
    Hisia zimeibuka kufuatia madai ya Spika wa Bunge, Moses Wetang’ula, kwamba baadhi ya wabunge hupewa hadi barua 10 za ajira za walimu kutoka TSC kwa ajili ya kuwagawia wapigakura wao, huku wengine wakidaiwa kuziuza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya