- 1,288 viewsDuration: 2:18Idadi ya wanawake wanaopokea huduma za upangaji uzazi imeongezeka katika kaunti ya Kilifi hadi asilimia 47 katika njia zote 4 za upangaji uzazi ikiwemo njia ya kitamaduni huku asilimia 44 ikiwa wale wanaotumia njia za kisasa.