- 19,010 viewsDuration: 1:45Wingu la huzuni limetanda eneo la Gusii baada ya mwili wa Daktari wa kwanza wa uzazi ukanda wa Magharibi na Bonde la Ufa, Ezekiel Archemedes Orwenyo, kufikishwa nyumbani kwake Gesima, maeneo ya Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira .