Skip to main content
Skip to main content

Huzuni yatanda katika mazishi ya wanafunzi wa Utumishi

  • | Citizen TV
    12,322 views
    Duration: 5:08
    Huzuni na majonzi vilitanda katika maeneo tofauti ya nchi kwenye mazishi ya wanafunzi walioaga dunia kufuatia mkasa wa moto katika Utumishi Girls Academy. Wanafunzi tisa kati ya kumi na wanne ambao walikuwa wamesalia kuzikwa waliagwa katika hafla zilizosheheni uchungu na hisia kali. Mwanafunzi mmoja, Jane Kimani, alizikwa Ijumaa punde baada ya ibada ya pamoja ya wafu.