10 Nov 2026 10:10 am | Citizen TV 2,467 views Duration: 2:18 Huzuni imetanda kijiji cha Okumu katika eneo bunge la Shinyalu, Kaunti ya Kakamega, kufuatia mauaji ya kikatili ya Gershon Manase ambaye ni naibu mwalimu mkuu wa chuo cha kiufundi cha Navakholo.