- 2,924 viewsDuration: 3:10Simulizi za makovu na athari za maandamano ya Gen Z ya miaka miwili iliyopita zilisheheni ibada maalum ya kuwakumbuka vijana waliouawa wakati wa maandamano hayo. Jamaa, wanaharakati na viongozi wa upinzani waliokuwepo kwenye ibada hiyo wakiitaka serikali kukomesha dhuluma dhidi ya waandamanaji. Kwenye hafla hiyo, waathiriwa wa maandamano wameendelea kuitaka serikali kufanya hima kutoa fidia kama walivyoahidi na kuweka wazi orodha ya watakaofidiwa.