Skip to main content
Skip to main content

Ichung'wah: Kuna wale wanawadharau hawa vijana wa NYOTA wakiwauliza 50,000 ni pesa gani

  • | KBC Video
    107 views
    Duration: 2:15
    Kimani Ichung'wah: Hawa vijana ndio watafikisha nchi yetu Singapore kwa juhudi zao. Wako tayari na najua wameskiza wale ambao wanawadharau, wanaowauliza 50,000 ni pesa gani, sababu wao wako nazo. Hata 5,000 mfanyibiashara yeyote anaweza kuanzisha biashara na aistawishe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive