Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China | Uagizaji bidhaa

  • | KBC Video
    46 views
    Duration: 3:08
    Muundo wa uagizaji wa China umeboreshwa kwa kiwango kikubwa mwaka 2025, huku uagizaji wa bidhaa za teknolojia ya juu na zenye thamani kubwa ya nyongeza ukiongezeka kwa kasi. Hatua hii inaonyesha kuimarika kwa mageuzi ya kiteknolojia na kuongeza ufanisi katika sekta ya uzalishaji wa viwandani nchini humo.Kwa maelezo zaidi katika Makala ya ifahahamu China Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive