Skip to main content
Skip to main content

IG Kanja akanusha polisi kumzuilia mwanaharakati Twaha Mwaipaya

  • | Citizen TV
    4,566 views
    Duration: 2:59
    Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja amekana kuwa idara yake inamzuilia mwanaharakati wa Tanzania Twaha Mwaipaya hapa nchini. Kanja aliyefika mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu Alexander Muteti kama alivyoagizwa, amesema hana habari za uwepo wa mwanaharakati huyo nchini na polisi hawaj ahusika katika madai ya utekaji nyara wake, kama Ben Kirui anavyoarifu.