- 611 viewsDuration: 3:04Mamlaka ya kutathmini Utendakazi wa Polisi IPOA inalenga kuanzisha mpango unaoitwa TRUST 47 utakaoimarisha uhusiano kati ya polisi, taasisi za serikali na wananchi. Lengo la mpango huo ni kujenga imani ya umma kwa polisi,na mamlaka hiyo ,husuan taifa linapoelekea katika uchaguzi mkuu mwaka ujao.