Skip to main content
Skip to main content

IPOA yapokea malalamishi 17 ya dhuluma dhidi ya wanahabari

  • | Citizen TV
    1,067 views
    Duration: 2:40
    Dhuluma dhidi ya wanahabari nchini zimepewa kipaumbele katika kikao cha kutathmini usalama wa waandishi wa habari jijini Nairobi. Katika kikao hicho, Mamlaka Huru ya Usimamizi wa Utendakazi wa Polisi (IPOA) imeripoti kuwa wanahabari 17 waliwasilisha malalamishi kuhusu dhuluma mwaka huu.