- 37,542 viewsDuration: 37sIsrael limefanya mfululizo wa mashambulizi makubwa ya anga huko Lebanon huku ripoti zikidai kuna idadi kubwa ya vifo na majeruhi. Mashambulizi hayo yalilenga mitaa ya kusini ya Beirut, kusini mwa Lebanon na Bonde la Bekaa mashariki. Hii inatokea ikiwa ni saa chache baada ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kusema kwamba kusitishwa kwa mapigano kati ya Marekani na Iran hakujumuishi Lebanon. #bbcswahili #lebanonnaisrael #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw