4 Nov 2026 10:43 am | Citizen TV 725 views Duration: 1:37 Serikali ya Italia inalenga kuimarisha uhusiano wake zaidi na serikali ya kaunti ya Kilifi katika miradi ya kibiashara, utamaduni na utalii pamoja na uwezeshaji wa vijana katika taasisi za ufundi.