Skip to main content
Skip to main content

Jaji mkuu Martha Koome awapongeza wazee wa Njuri Ncheke kwa kuhusisha wanawake kutafuta haki

  • | Citizen TV
    1,109 views
    Duration: 2:24
    Jaji mkuu Martha Koome sasa amepongeza wazee wa Njuri Ncheke kwa kukubali mwito wa mahakama wa kuwahusisha wanawake katika mchakato wa kutafuta haki kupitia mbinu mbadala.