Skip to main content
Skip to main content

Jamaa ajifanya mfanyakazi wa serikali ya Mombasa ashtakiwa kwa ulaghai wa KSh milioni 4.9

  • | Citizen TV
    12,235 views
    Duration: 1:25
    Jamaa ambaye anadaiwa kujifanya kuwa mfanyakazi wa serikali ya kaunti ya mombasa alifikishwa kizimbani katika mahakama ya shanzu kwa madai ya kumlaghai raiya wa kigeni na mfanayabiashara zaidi ya shilingi milioni 4.9