Skip to main content
Skip to main content

Jamaa mmoja auwawa kwa kudungwa sindano ya sumu Alabama nchini Marekani

  • | Citizen TV
    14,612 views
    Duration: 54s
    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 41 aadhibiwa kifo kwa kudungwa sindano ya sumu huko Alabama nchini Marekani baada ya kupatikana na hatia ya kumteka nyara, kumbaka mara kadhaa na kumuua mtoto wa miaka mitano.