Skip to main content
Skip to main content

Ruto aendeleza mashambulizi dhidi ya Uhuru

  • | Citizen TV
    14,816 views
    Duration: 2:48
    Rais William Ruto ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta huku akisisitiza kwamba yeye ndiye mdhamini wa mrengo wa Umoja wa Upinzani. Aidha, rais Ruto ameapa kumbwaga rais mstaafu kwa mara ya pili, wakati uchaguzi mkuu ujao utakapoandaliwa mwaka ujao.