Skip to main content
Skip to main content

Jamaa za waathiriwa wa Shakahola wapokea hukumu ya Mackenzie kwa hisia tofauti

  • | Citizen TV
    621 views
    Duration: 2:07
    Kufuatia hukumu dhidi ya mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake, baadhi ya jamaa za waathiriwa wamefurahia adhabu hiyo. Hata hivyo, wengine wanasema kuwa Mackenzie alipaswa kupewa adhabu kali zaidi, wakisema kuwa masaibu waliyopitia hayawezi kufidiwa na kifungo hicho. Na kama anavyoarifu Laura Otieno, safari ya kutafuta haki inaonekana kuzaa matunda kwa waathiriwa wa mkasa huo wa itikadi kali za kidini.