- 512 viewsDuration: 3:45Utamaduni umetajwa kuwa nguzo muhimu ya kuimarisha umoja wa kitaifa,uchumi na maendeleo endelevu. kwenye hafla ya utamaduni huko malaba kaunti ya busia, Jamii mbalimbali zilitakiwa kuepuka hulka ya mapuuza na kuzingatia kudumusha mila na asili zao hasa zile ambazo husaidia kudumisha amani miongoni mwa wanajamii...