Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Wacherangany yaandaa sherehe za kitamaduni kuhifadhi mila na desturi zenye maadili

  • | Citizen TV
    836 views
    Duration: 3:32
    Jamii ya Wacherangany inayoishi katika kaunti za Pokot Magharibi, Trans Nzoia, na Elgeyo Marakwet imeandaa sherehe za kitamaduni kwa lengo la kuhakikisha wazee wanapitisha mila na desturi zenye maadili kwa kizazi cha sasa .