28 Oct 2026 10:36 am | Citizen TV 1,587 views Duration: 2:39 Kulikuwa na shangwe na nderemo katika uwanja wa kihistoria wa Dr Krapf katika Kaunti ya Kilifi huku jamii ya warabai ikisherehekea utamaduni wao wa kuukaribisha mwaka mpya.