Skip to main content
Skip to main content

Jamii za wafugaji Isiolo walalamikia kufungwa kwa barabara ya kuunganisha maeneo yao na mji wa Isiol

  • | Citizen TV
    730 views
    Duration: 1:37
    Jamii za wafugaji katika maeneo ya Leparua, Mlango na Kipsing, katika wadi za Burat na Oldonyiro, wamelalamikia kuendelea kufungwa kwa barabara inayounganisha maeneo yao na mji wa Isiolo kutokana na ukosefu wa usalama .