Skip to main content
Skip to main content

Je Bara la Afrika lina ukubwa kiasi gani?

  • | BBC Swahili
    10,634 views
    Duration: 1:46
    Je unajua kuwa Bara la Afrika ni kubwa zaidi kuliko jinsi linavyochorwa kwenye ramani nyingi duniani. Sasa Umoja wa Afrika unataka ramani zionyeshe ukubwa na nafasi halisi ya Afrika, Wewe unaonaje? Je, huu ndio wakati muafaka au tumeshachelewa kulisimamia hili? #bbcswahili #afrika #ramani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw