6,828 views
Duration: 1:34
Tahadhari: Maudhui ya afya ya sehemu za siri
Wanawake mpo? Je ni kweli bidhaa za 'Kubana' Uke zinafanya kazi?
Umewahi kuona matangazo ya bidhaa zinazodai kubana uke? Tuongee kuhusu hili
Kwasababu mitandaoni kumejaa bidhaa za 'kubana' uke kuanzia Krimu, vijiti vya mitishamba, hata kujifukiza na mvuke?
Swali ni kuu ni Je, zinasaidia au ni hatari?
Ungana na mwandishi wa BBC @Leila Mohammed akichambua mada hii vizuri na kukupa njia mbadala ya kuweza kubana uke kupitia mazoezi.
🎥: @Frank Mavura
-
-
#bbcswahili #wanawake #afya #kenyantiktok
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw