- 3,601 viewsDuration: 31sTazama jengo hili kaskazini mwa India lilivyoanguka punde tu baada ya helikopta ya uokoaji kumaliza kuiokoa familia iliyokuwa imezingirwa na maji ya mafuriko kufutia mvua kubwa iliyoikumba nchi hiyo na jirani yake Pakistan Jeshi lilisema waliweza kumuhamisha kila mtu salama kabla ya kubomoka na hakuna aliyepata majeraha. #bbcswahili #india #mafuriko Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw