- 3,599 viewsDuration: 5:32Mashambulizi bado yanaendelea kote Mashariki ya Kati. Israel inasema imelenga maeneo mawili yanayotumika kutengeneza makombora ya masafa marefu huko Tehran. Nayo Tehran imesema ililenga Israel na kambi zinazowahifadhi wanajeshi wa Marekani huko Kuwait, Jordan na Bahrain. Licha ya hayo, wafanyabiashara kama Joan Mwende, raia wa Kenya anayeishi Dubai hawawezi kuondoka licha ya mashambulizi ya Iran #BBC #BBCSwahili #BBCDiraYaDuniaTV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw