- 266 viewsDuration: 3:02Shughuli za dharura za uokoaji zinaendelea katika eneo la Oloolua, Kajiado Kaskazini, baada ya jengo la orofa nane lililokuwa likijengwa kuporomoka na vifusi kuwafunika watu wapatao wanne. Maafisa hata hivyo wanasema jitihada za uokoaji zinatatizwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive