21 Jun 2026 7:51 pm | Citizen TV 228 views Duration: 1:17 Mabingwa watetezi, Uganda, wameingia fainali ya mashindano ya cecafa ya wanawake wa chini ya miaka 17 baada ya kuishinda Junior Starlets ya Kenya mabao 3-0 katika nusu fainali iliyochezwa jumapili katika uwanja wa KMC.