- 640 viewsDuration: 1:02Timu ya taifa ya soka kwa wasichana chini ya miaka 17, Kenya women's national under-17 football team, imeanza kwa kishindo michuano ya CECAFA U-17 Women's Championship kwa kuichapa Sudan mabao 16-0. Ushindi huo mkubwa umeipa Junior Starlets mwanzo mzuri wa kampeni yao huku ikipeleka ujumbe mzito kwa wapinzani wake kwenye mashindano hayo.