Skip to main content
Skip to main content

Junior Starlets yafuzu hatua ya mtoano Kombe la Dunia baada ya kuichapa Samoa 4-0

  • | Citizen TV
    1,193 views
    Duration: 1:39
    Timu ya taifa ya kandanda ya wasichana wasiozidi miaka 17 imefuzu kwa raundi ya mchujo ya kombe la dunia nchini Morocco baada ya kuiadhibu Samoa kwa mabao 4-0. Kenya ilimaliza kama moja ya timu bora katika nafasi ya tatu kwenye awamu ya makundi, na sasa itamenyana na Japan iliyomaliza katika nafasi ya kwanza katika kundi 'D'.