Skip to main content
Skip to main content

Junior Starlets yaondolewa Kombe la Dunia baada ya kushindwa 3-1 na Japan raundi ya 16

  • | Citizen TV
    303 views
    Duration: 59s
    Timu ya taifa ya soka kwa wasichana chini ya miaka 17 Junior Starlets imebanduliwa nje ya mchuano wa kombe la dunia kwenye raundi ya 16 walipolazwa na Japan 3-1.